|
|
| Wasanii wakijiandaa na zoezi la kufanya usafi na kuona wagonjwa Tumbi Hospital |
| Wasanii wakitoa misaada kwa Wagonjwa |
| wasanii wakifanya usafi katika hospitali ya Tumbi |
| Mkurugenzi wa GJFC (kushoto) akikabidhi vifaa vya usafi kwa Nurse in charge |
| Mkurugenzi wa GJFC akimpa pole mgonjwa |
| Wasanii wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Tumbi baada ya usafi. |
