|
Wasanii wakijiandaa na zoezi la kufanya usafi na kuona wagonjwa Tumbi Hospital |
Wasanii wakitoa misaada kwa Wagonjwa |
wasanii wakifanya usafi katika hospitali ya Tumbi |
Mkurugenzi wa GJFC (kushoto) akikabidhi vifaa vya usafi kwa Nurse in charge |
Mkurugenzi wa GJFC akimpa pole mgonjwa |
Wasanii wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Tumbi baada ya usafi. |